Header Ads

ad

MSIGWA; Mapambano Yaendelee

Dar es Salaam. Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa amesema Mwanasheria Mkuu wa chadema, Tundu Lissu anaendelea vyema na matibabu katika hospitali ya Aga khan Nairobi nchini Kenya ila Jana......

Lissu alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake Dodoma siku mbili zilizopita na watu wasiojulikana.
Akizungumza kwa niaba ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Msigwa amewataka watanzania kuendelea na mapambano huku akiwaomba kuendelea kuomba ili aweze kurejea katika afya yake.
“Lissu anaendelea vizuri , lakini tunahitaji maombi zaidi kwa Mwenyezi Mungu, kila mtu amuombee,”amesema Msigwa aliyeungana na Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa chama) pamoja na mke wa Tundu Lissu, Alice Lissu.
Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.