Mbunge wa Kilombero peter Lijualikali amuomba Raids magufuli kuugawa mkoa wa morogoro ili kusaidia Kuwafikia wananchi kwa uraisi Zaidi.,Pia Amemuomba kuyarudisha mashamba yaliyochukuliwa na makampuni makubwa Via #AzamTv CC @mh.lijualikali
#Kilombero #Kidato #Ifakara #JiweLaMsingi
Mbunge Wa kilombero Aomba Mkoa mpya
Reviewed by Unknown
on
May 04, 2018
Rating: 5
No comments: