Header Ads

ad

Ali kiba Asema hana Mpango wa Kutengeneza Kiki Hadi Anakufa

"Wapo watu wanafanya sana kiki ila mimi siwezi hilo na sioni sababu. Watu wengi wametokea kunipenda na kupenda kazi zangu kutokana na heshima ambayo nimekuwa nayo, hivyo siwezi kuivunja heshima yangu kwa kiki na nitaendeleza haya maisha yangu mpaka siku nakufa" @OfficialAliKiba h

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.