Header Ads

ad

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA WAKURUGENZI BUKOBA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Novemba, 2017 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Aron Mfugale na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Bi. Mwantum Kitwana Dau.

Bw. Erasto Aron Mfugale na Bi. Mwantumu Kitwana Dau watapangiwa kazi nyingine.
Kufuatia hatua hiyo uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri hizo utafanywa baadaye.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Bukoba
06 Novemba, 2017

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.