Header Ads

ad

Ndege Kubwa Yatua Dar es salaam kwa Mara ya Kwanza

Ndege kubwa aina ya Airbus A380 mali ya Shirika la Ndege la Emirates imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) uliopo jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kutua Mauritius kutokana na hali mbaya ya hewa.

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.