Header Ads

ad

Video.MAGOLI: MbeyaCity walivyogawana point na Yanga FT 1-1

Mchezo umekuwa kama ulivyokuwa unatarajiwa kuwa ni mgumu kwa timu zote mbili, hadi dakika 90 zinamalizika game ilikuwa 1-1, licha ya Yanga kuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 58 kupitia kwa Raphael Daudi, umakini wa beki yao ulikuwa ..
mdogo na kufanya Mbeya City kusawazisha goli hilo dakika za nyonge kupitia kwa Idd Suleiman.
Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.