Header Ads

ad

Maajabu ya Dawa za Kuongeza Siku

Mkazi wa Mtwara, Joseph Mkanda (43) maziwa yake yamekuwa makubwa baada ya kutumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI kwa muda mrefu. Asema, awali alidhani ni jambo dogo, lakini sasa yamekuwa makubwa kama ya mwanamke na anaona aibu kutoka nje.- The Guardian
Niandikie Maoni Yako Hapa...

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.