Huwezi ukaanza kupiga vita rushwa na ufisadi ndani ya Serikali wakati chama kina rushwa na ufisadi, chama nacho tunataka tukisafishe, mambo ya rushwa na ufisadi yaishe ili Tanzania iende vizuri, ndio maana tumeunda tume ya Dkt. Bashiru Ally imefanya kazi nzuri sana-Mhe.Dkt. JPM.
Mafisadi Ndani ya CCM Roho juu, Mwenyekiti Acharuka
Reviewed by Unknown
on
May 22, 2018
Rating: 5
No comments: