Header Ads

ad

Watanzania wamepunguza Matumizi ya Kondomu

Meneja wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Emilian Kalugendo amesema kuwa, kiwango cha matumizi ya kondomu kwa mwaka 2016/17 kimepungua na kufikia 29.9% kwa wanawake na 33.5% kwa wanaume ikilinganishwa na kipindi cha 2015/16.

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.