KIONGOZI MWINGINE WA ACT WAZALENDO AJIUZULU
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Samson Mwigamba ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo.
Mwigamba ameandika barua hiyo akieleza kuwa amejiuzulu kwa sababu viongozi wa juu wameacha misingi iliyopelekea kuanzishwa kwa chama hicho pamoja na kutokuwa na maelewano na baadhi ya viongozi.
No comments: