Header Ads

ad

Magufuli Amefanya Uteuzi..

Rais Dkt @MagufuliJP amempandisha cheo na kumteua Mohamed Hassan Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar, akiichukua nafasi iliyoachwa wazi na Kamishna wa Polisi Hamad Omar Makame ambaye amestaafu.

Kabla ya uteuzi huu, Mohamed Hassan Haji alikuwa Mhasibu Mkuu wa Polisi Zanzibar.

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.