Header Ads

ad

Miga Picha wa DiamondPlatnumza Atangaza Kuacha Kazi, Dada wa Diamond Asema Kifesi Amefukuzwa


Mpiga picha wa msanii Diamond Platnumz na WCB kwa ujumla, Kifesi ameamua kuachana na kazi hiyo.

Hapa chini ni waraka wake akieleza sababu za yeye kuacha kazi;
Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niliyoamua kufanya maamzu yatayobadili maisha yangu. Nimeamua rasmi kuacha kazi kama mpigapicha wa Diamond na mwajiriwa wa WCB.

Well It’s insane to be leaving a stable job you love but that’s reality for me naacha kazi kwa mtu aliyekuwa zaidi ya rafiki kwangu naachakazi ambayo ni ndoto ya vijana wengi out there but to me i see miaka yangu 4/5 ya kufanyakazi hapa inatosha niachie nafasi kwa vijana wengine nimeamua kufata moyo wangu.

Ni uamuzi niliokuwa nao karibu mwaka sasa but kama ilivyo kwa waajiriwa wengi is so hard kufanya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.
Naacha kazi to persue my dreams life, ikiwamo kujiajiri mwenyewe. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence.

Reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu, naacha hii kazi ili niwe karibu zaidi na Mungu wangu kwa imani yangu kama Mkristo. Nilikua nafanyakazi katika lifestyle na mazingira ya kazi yasompendeza Mungu. Ni suala ambalo limenikosesha amani kwa miaka yote but at the end we need to choose GOD over everything.

Sifa, umaarufu na fahari yote ya dunia vitanifaidia nini endapo nitaukosa ufalme wa Mungu.??

Nimeamaua ku-drop kila kitu i just want to have peace of mind, do my works, live my life and have time with God. Ukimchagua Mungu hata hivi vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi, up and downs but Mungu knew me before a was born aliahidi ukimchagua yeye he will open doors atatufnya kuwa kichwa na siyo mkia.
Mwisho nashukuru familia yote ya WCB kwa kuniami for all these yyears, was great working with u, but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote niliofanya naye kazi since chini mpaka sasa..

Nimefnya kazi kwa mapenzi, bidii na uaminifu mkubwa kwangu. Haukua boss bali rafiki na nilikuwa rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwangu.
Tusameheane pale tulipowai koseana we are just human. Hatutakua pamoja kikazi but nina imani tutaendelea kua marafiki.
God bless you, uzidi kufika unapopenda kufika. GOD Bless me. God bless my next hustles # happysabbath Day
Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.