Header Ads

ad

PICHA: Mbowe na Lowassa walivyoshiriki ibada ya Matawi

 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa, March 25, 2018 wameshiriki......
ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Azania Front Posta ya zamani jijini Dar es salaam.

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.