Header Ads

ad

ABBAS KANDORO AMEFARIKI

April 27, 2018 Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas Kandoro amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini DSM alikolazwa kwa matibabu.

Kabla ya kifo chake aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Arusha, Singida na Mbeya na mikoa mingine.

Siku mbili zilizopita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alimtembelea na kumpa pole Mkuu huyo wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro ambapo awali alikuwa amelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma kabla ya kuhamishiwa Muhimbili DSM ambapo umauti ndipo ulipomkuta .

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.