Header Ads

ad

Ridhiwani Kikwete Asikitishwa Kuuwawa Mdogo wa Mbunge Heche

Mbunge wa chalinze kupitiachama cha mapinduzi Ridhiwani kikwete amesikitishwa na kifo cha mdogo wa Mbunge wa Tarime John Heche ambapo jeshi la polisi linathumiwa kuhusika na kifo hicho Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Twitter Mbunge huyo ameandika

"Kitendo kilichotokea sio tu kimesikitisha ukoo wa Bwana Heche lakini kwangu Binafsi. Jeshi letu limetengenezwa kulinda Watu na Mali zao sio kuumiza wasio na hatia. Ni imani yangu Serikali itasimamia haki kwa familia ya Heche. Poleni sana kwa Msiba.Mungu awape subira

Unaweza kupitia post yake Hapa:

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.