Header Ads

ad

BURUDANI: ZARI AMWAGIA MATUSI DIAMOND PLATNUMZ

South Africa: Mama watoto wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarina Hassani maarufu kama Zari the boss lady amemmwagia matusi baba wa watoto wake wawili Diamond Platnumz na kumwita
MJINGA
Akiandika kupitia snap chart leo Jumapili April 15, 2018 Zari amesema Mameneja wengine wanapaswa kuhakikisha wanapitia vitu kabla wasanii wao hawajaweka upuuzi kwenye mitandao ya kijamii kwa kupata kiki kivyovyote vile
Kauli hii ya Zari imekuja baada ya saa chache Diamond kupost ujumbe aliuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu wanawake akipigia debe tukio linalofanywa leo na mtangazaji wa wasafi TV Zamaradi Mketema.
“Ikiwa Mama yangu alinilea Pekee hadi kufika hapa…Naamini Mwanamke ni Kiongozi bora Mwenye kuweza kuleta Maendeleo na Furaha ya Kweli Ulimwenguni….Please Tag wanake wote Wapambanaji na Wapenda Maendeleo waambie
@zamaradimketema Kawaandalia jambo Kesho [leo],” aliandika Diamond.
Saa chache baada ya ujumbe huo Zari aliweka ujumbe wake uliojaa hasira akitumia maneno makali Ingawa hakumtaja jina kama ni Diamond, laini Zari ameonesha kumkosoa Diamond kushindwa kuwaona watoto wake kwa muda mrefu,
''hivi ni lini mara ya mwisho umewaona wanao.. Nina amini wamesahau yote kuhusu wewe mpuuzi…. fikiria kabla ya kuandika kwenye picha. Mjinga.”
“Some manages need to do quality assurance before their artist alter nonsense for public whatever… when last did you see your kids I believe they forgot all about you dummy… Think before you caption. Idiot. Mxuiiii,” aliandika Zari kwa kimombo.
Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.