Header Ads

ad

Rais wa Brazil Ahukumiwa Jela Mika 12

Mahakama Kuu nchini Brazil imeruhusu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Lula da Silva kuanza kutumikia kifungo cha miaka 12 jela kwa
makosa ya rushwa. Lula ni mwanasiasa anayependwa zaidi na wananchi, na Jeshi limegawanyika kuhusu hukumu hiyo. - đŸ“¸ Getty
Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.