Kikao cha Halmashauri Kuu CCM chapitisha wawili
Wajumbe hao ni Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu nne Mizengo Peter Pinda pamoja na Makongoro Nyerere.
Kikao hicho pia kimepiga kura ya kuwapata wajumbe sita kwa kuzingatia jinsia, watatu kutoka Tanzania Bara na watatu kutoka Tanzania Zanzibar ambao watakuwa wajumbe wa Kamati Kuu.
Jumla ya majina 18, tisa kutoka kila upande yalipendekezwa kuwania nafasi hizo.
Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere waliteuliwa na Rais Dkt. Magufuli hivi karibuni kabla siku ya leo Mei 28, 2018 kupitishwa rasmi.
No comments: