Wachezaji Simba Wapewa Tuzo
1.Golikipa bora Aish Salum Manula
2.Beki bora Erasto Nyoni
3.Kiungo bora Ramadhan shiza Kichuya
4.Mshambuliaji bora Emmanuel Anord Okwiii
5.Mchezaji bora Mwanamke Zainabu Rashid Pazzi
6.Mchezaji bora(Mdogo )chipukizi Rashid Juma
7.Goli bora John Raphael Bocco dhid ya Mwadui FC (Taifa).
8.Bench la ufundi (Pierre , Masoud & Aymen)
9.Shabiki bora Bi Fii Kambi (R.I.P
10.Mhamasishaji bora mitandaoni Mwana FA & Salama Jabir
11.Mhamasishaji bora wa jumla Hajj Sunday Manara(100) amestahili
12.Tuzo ya heshima Suleiman Matola
13.Tawi bora (Ubungo Terminal Mwanzo Mwisho)
14.Kiongozi bora Salim Abdallah (Try again)
15.Tuzo ya mchakato wa mabadiliko ni kamati nzima iliyohusika
16.Mchezaji bora wa Mwaka John Raphael Bocco (Captain)
No comments: