Header Ads

ad

Mbunge ameuawa kwa kupoigwa Risasi

Mbunge Ibrahim Abiringa ambaye ni miongoni mwa viongozi waliokuwa mstari wa mbele kushinikiza mabadiliko ya Katiba, ameuawa kwa kupigwa risasi na Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana nchini Uganda.

Mwanasiasa huyo wa chama tawala cha NRM na mlinzi wake waliuawa karibu na nyumba yake huko jijini Kampala.

Jeshi la Polisi nchini humo limeagizwa na Rais Yoweri Museveni kuwasaka waliomuua Mbunge huyo na kuwafikisha mbele ya sheria.

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.