Header Ads

ad

Rooney kufika mahakamani kwa kuendesha gari akiwa mlevi


Wayne Rooney anatatajiwa kufika mahakamani baadaye leo baada kushtakiwa kwa kuendesha gari akiwa mlevi.

Nahodha huyo wa zamani wa kikosi ya England na Manchester United, alikamatwa wakati polisi walisimamisha gari lake huko Wilmslow, Cheshire mnamo Septemba mosi.
Rooney 31 aliachiliwa kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa kuendesha gari akiwa mlevi.

Anatarajiwa kufika mahakama ya Stockport siku moja baada ya kurejea Old Trafford kwa mara ya kwanaa tangu ajiunge na Everton.
Mzaliwa huyo wa Liverpool alojiunga tena na klabu yake ya utotoni miaka 13 tangu akihame na kuelekra Manchester United.

Baba huyo wa watoto watatu ndiye anayeshikisa rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi nchini Uingereza.

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.