CRISTIANO Ronaldo ametwaa tena tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa upande wa wanaume zinazoandaliwa na shirikisho la kandanda duniani FIFA.
Ronaldo amewapiku Lionel Messi na Neymar ambao waliingianae fainali. Hawa hapa ni washindi wa tuzo nyinginezo.
Ronaldo ANG'AA tena tuzo za FIFA 2017
Reviewed by Unknown
on
October 24, 2017
Rating: 5
No comments: