MICHEZO ;ZIDANE AJIUZULU KUIFUNDISHA MADRID
Kocha mkuu wa mabingwa wa Ulaya Zinadine zidane Leo may 31 ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya ukocha kama kocha mkuu wa timu hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka miwili na nusu kama kocha
Zidane amethibitisha kwamba wachezaji wote wanafahamu, alishaongea nao mmoja mmoja lakini kabla alishamfahamisha Nahodha Sergio Ramos.
:
“Huu ulikuwa muda sahihi mimi kuondoka, tumeshashinda pamoja kila kitu, nitaanzaje tena kuwaomba wachezaji wafanye zaidi ya waliyofanya. Wanahitaji sauti mpya, mkufunzi mpya, atawapa motisha na mbinu mpya.” - Zidane
Watu wa Soka LA ulaya Maoni yenu muhimu.....

No comments: