Header Ads

ad

Samatta Amaliza Msimu kwa Ibada Maaluu huko Saudi Arabia

Baada ya kumaliza msimu wa ligi ya Belgium - mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania @samagoal77 ameelekea nchini Saudia Arabia kwa ajili ya kufanya ziara ya kiimani ‘Umrah’ katika Alkaba iliyopo mjini Makka. :
:
Samatta anatarajiwa kurudi Tanzania mwishoni mwa wiki hii kujiandaa na mchezo wa hisani kati yake dhidi ya Alikiba, mchezo utakaofanyika tarehe 9 mwezi ujao kwenye uwanja wa taifa. #RamadhanMubaraak

No comments:

Theme images by merrymoonmary. Powered by Blogger.