Mapacha walioungana (Maria na Consolata) wamefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Iringa. Mkuu wa Wilaya ya Iringa @Kasesela amethibitisha. Walikuwa ni Wanafunzi wa mwaka wa Kwanza Shahada ya Ualimu Ruaha Catholic University Iringa. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un"
No comments: